Trump akosoa ujenzi wa Nyumba za Walowezi katika ardhi za Wapalestina

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,292
Gazeti moja la Israel limemnukuu raisi Donald Trump wa Marekani akisema kuwa yeye anaamini kwamba ujenzi wa Nyumba za Walowezi settlements)unaofanywa na Walowezi wa Kiisrael katika ardhi za Wapalestina ni jambo linalohatarisha amani katika eneo hilo.
Bwana Trump ambaye kuingia kwake madarakani kulifurahiwa na Waisrael wale wapenda kujenga katika ardhi za wapelstina, polepole ameanza kujipambanua msimamo wake kuhusu sera za Settlements zinazofanywa na settlers wakiungwa mkono na seikali ya Marekani. Gazeti hilo lilimhoji Trump ikiwa ni siku chache kabla ya ziara ya Waziri mkuu Netanyahu kuongea na Donald Trump.

MY TAKE:
Nadhani muda si mrefu waisrale watangundua kuwa Trump ni mtu wa ulimwengu wake mwenyewe, huwezi kumpredict, na kumtabiri!
________________________________________________________________________________

JERUSALEM (AP) — An Israeli newspaper is quoting President Donald Trump as saying that settlement expansion in land claimed by the Palestinians does not benefit peace.

The remarks came in a Trump interview with Yisrael Hayom, a pro-Benjamin Netanyahu paper, just days before the Israeli prime minister is to visit the White House.

Trump is quoted as saying that he is not a person who believes that proceeding with settlements is good for peace.

The interview was published on Friday in Hebrew. An English transcript of Trump’s quotes was not available.

Israeli paper: Trump says settlements don't advance peace
 
Huyu bwana wayahudi watamuelewa taratibu na dawa itawaingia,
Asije akawapiga ban na wao tu.
 
Back
Top Bottom