Trump adai yuko tayari kuongea na kiongozi wa korea kazkazini

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,233
16,202
Mgombea urais wa marekani donald trump amesema yuko tayari kwa maongezi na kiongozi wa korea ya kazkazini kim jong un kuhusu mpango wa nyuklia wa taifa hilo

Trump ambae anatarajiwa kupeperusha bendera ya chama chake cha republican amesema mkutano wao ungekua tofaut na misimamo ya muda mrefu wa marekani kuhusu korea kazkazini

Hatua hiyo imeshutumuwa vikali na mgombea wa chama cha democratic hillary clinton kwa kusema trump anashangaza kuwaenzi viongozi wababe wa nchi za nje kusiko na maana

Hii siasa ya trump ni kiboko
 
Back
Top Bottom