Poa mkuu! Hivi vinakaeje masikioni mkuu!Hapana man,zipo tofauti. Izi za jamaa anazouza ni i12 ambazo ni standard near to apple ila izi i7 zipo chini sana. Nimetoka youtube kuchek revews
Poa mkuu! Hivi vinakaeje masikioni mkuu!
Kwasisi wakulima vinatufaa kweli hivi?
😂😂😂😂😂😂😂😂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mkuu nyie wakulima wekeni Magunzi ya mahindi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mkuu hivi tuwaachie nyie wa daresalama vinapendeza kweli kuviweka masikioni mkiwa mnaendesha IST za kuhongwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mkuu ukienda navyo shambani umeumia. Mtu una sikio kama la tembo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] labda ufunge na Manati
Mkuu kuna hizi i7 TWS ukihitaji utapata kwa bei ya 36900. Usiogope hakuna upigajiAiseee Kuna harufu ya kupigwa hapa!
Kikuu wanauza 15k .. na kuendelea hizi earpodsearpods wanna be
Mkuu pitia post zote utajifunza kitu kuhusu hizi earpodsKikuu wanauza 15k .. na kuendelea hizi earpods
Mkuu pitia post zote utajifunza kitu kuhusu hizi earpods