HazidondokiUkiwa unatembea haviwezi kudondoka kweli hivi?
Makumbusho kuna jamaa anauza kama hivi kwa 20,000/=Hivi vidude vimekuwa vingi. Vingine ni laki 4 vingine ni elfu 25 na hivi ni laki 1
Makumbusho kuna jamaa anauza kama hivi kwa 20,000/=
Mkuu vya 20,000 vitakuwa poa kadiri ya hali ila usifananishe hizi i12 na vidude vingine kama i7, i8, i9, i10 au i11. Ukitaka kujua utofauti wake cheki google kuna reviews nyingi juu ya models hizo.Sasa jamaa ndo aje aseme kwann anauza laki 1.
Pia najua kabisa vidude hivi original yake ni Apple ambapo vinauzwa kama laki 4 na nusu.
Sasa kama kuna ambavyo ni substandard tujue kuanzia Copy 1 hadi copy 4 na kuendelea na bei zake.
Mkuu vya 20,000 vitakuwa poa kadiri ya hali ila usifananishe hizi i12 na vidude vingine kama i7, i8, i9, i10 au i11. Ukitaka kujua utofauti wake cheki google kuna reviews nyingi juu ya models hizo.
Hizi hapa kwa ajili ya tecno, huawei, infinix, sonny n.kDereva bodaboda na I phone wapi na wapi ?
Tafuta ambazo ni universal ndio utuuzie sie madereva boda wenye Tecno whatever
Mkuu product ni i12 TWS nimeweka video clip na pia mannual yake yaeleza pia. Na ifuatayo ni video clip ikionesha tofauti ya i12 TWS na i7 TWSMkuu ungetupa darasa hapa ili tujue unauza product ya namna gani. Nadhani umeuona mkanganyiko wetu. Sasa funguka uelezee ww unauza bidhaa ya namna gani ili tuelewe
Aiseee Kuna harufu ya kupigwa hapa!Izo ni i7sView attachment 1117950
Aiseee Kuna harufu ya kupigwa hapa!