True story nifanyeje

Hili jambo halihitaji hata ushauri Lea mwanao akiwa Kwa mama yake. Kuhusu kuzaa mtoto mwingne mtandike mimba nyingne fasta usilaze damu, ulikuja duniani kuzalisha ili kuijaza dunia,.
 
Shukuru alikuwa binadamu. Kuna nyakati mapepo nayo yanatafuta mzazi mwenza.
Unapata baba mkwe jini mahaba. Ni ngono tu mpaka ufe, na ukifa wanakupokea kwa vigelegele.
 
Dah hongera kwa kuendelea kuijaza dunia
 
Ila nakushauri chukua watoto wako wote walee, hakuna mateso mabaya na ya kilaana kama kutelekeza watoto, chukua waweke sehemu moja walee, swala la wazazi wa hao watoto majibu yatakuja baadae
Umenigusan Sana hapo. Mwaka 1998 nikiwa kodatoncha sita nimgegeda classmate. Anaitwa Celine, mwezi mei tuliondoka baada ya kumaliza paper.

Miezi kadhaa mbele alinitafuta akasema nikamone mwanangu, nikakataa kabisa akapotea, ni miaka mingi Sasa namtafuta huyu dada bila mafanikio.

Hapa nilipo sijui yuhai, sijui alikuwa ananiania ilibnimgegede tena, sijui Kwa kweli...

Siku Moja nilikwenda eneo alilolitambulisha kuwa ni Babu ake, nikajifanya namuuliza Mzee xx sikupata ushirikiano hapo kijijini.

Nikarejea njianflan ya tandika nikahangaika kuhofia laana ya kutekeleza mtoto. Kumuacha mtoto sehemu ukakaa mbali naye ni mbaya na sijui yuhai au laa. Jamaa amlee mwanae japo Kwa vinguo na kalamu
 
Aah kama alisema uongo mkavu mwanzo saiz usimuamini tenaa! Mtoto muache hukoo cha msingi apate mahitaji muhimu akiwa huko hata kama mkono wako utahusika kwa namna yyte ila no attachment.
 
Wanaume tumeumbwa kujaza dunia, usiogope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…