kwaiyo unajikuta professor wa money heist mwenyewe ๐๐๐๐Hiyo ni next chapter chief. Ni kipande kipya kwenye masimulizi. Ukiachana na maisha baada ya pale, pia kuna maisha kabla ya pale ambayo hayajasimuliwa.
Ni kama movie series tu, season inapoisha, watazamaji huwa na hamu sana na season ijayo, maana inakuwa imeishia patamu ๐ ๐
Sijasema hivyo mkuu ๐ ๐ ๐kwaiyo unajikuta professor wa money heist mwenyewe ๐๐๐๐
naomba nitagi hiyo ya leadermoe nikasome
MZee wa juu ya meza, juu ya kochi, sakafuni aah๐คฃ๐คฃSijasema hivyo mkuu ๐ ๐ ๐
hivi kwann watu wa jf wanapenda kuitana mkuu๐๐ au mi sikusoma terms and policy labda kuna mahali walisema tuitane ivoSijasema hivyo mkuu ๐ ๐ ๐
๐๐๐๐ umesahau mzee wa mishangaziMZee wa juu ya meza, juu ya kochi, sakafuni aah๐คฃ๐คฃ
๐ ๐ ๐ DahMZee wa juu ya meza, juu ya kochi, sakafuni aah๐คฃ๐คฃ
Mkuu ni JF - Expert Member. Wale member, senior, senior member ili jina haliwahusu.hivi kwann watu wa jf wanapenda kuitana mkuu๐๐ au mi sikusoma terms and policy labda kuna mahali walisema tuitane ivo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
๐ ๐ ๐ Duh๐๐๐๐ umesahau mzee wa mishangazi
Mkuu unanisagia kunguni ๐ ๐๐๐๐ wembamba wa reli
kheee, kumbeโฆsikuwahi kujua hivoMkuu ni JF - Expert Member. Wale member, senior, senior member ili jina haliwahusu.
Nenda kachek T &C za JF, chapter vi
Mungu akutunze na kukuweka mbali na mashangaziNimeokoka siku hizi ๐ ๐ ๐
๐๐๐๐Mkuu unanisagia kunguni ๐ ๐
Hukusoma vigezo na masharti ๐kheee, kumbeโฆsikuwahi kujua hivo
inabidi niwe nasoma aiseeHukusoma vigezo na masharti ๐
Mbali Kivipi mkuu? Binadam tunatakiwa kupendana ๐Mungu akutunze na kukuweka mbali na mashangazi