Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,717
- 4,414
Kwanini umekuwa ukishindwa masharti kila mara mkuu wangu? Kama ulivyofungua macho na kusababisha babu yako anusurike kuuwawa.172
Kitendo cha wewe kukumbuka kuwa unasiraha ambazo zinaweza kukusaidia ni ushindi tosha na hizi zana ndo msaada pekee kwetu kuliko hata hata bibi yako na majirani uliokuwa unawaita na kuomba msaada kwao, alisema babu.
Inamaana kumbe alikuwa ananisikia wakati naenda kuomba msaada nyumbani kwa kina yunge mdogo? Niliwaza.
Sasa nenda nyuma ya nyumba ukaniletee ile zana niliyokuwa nimeibeba wakati ule nakufanyia tiba kisha uje hapa, hakikisha ukiibeba zana hiyo hutoiweka chini mpaka uje unipe mikononi mwangu, alitoa angalizo babu akiwa gizani na hatuonani kabisa.
Nilifika nyuma ya nyumba na bila kuhangaika kutafuta nilikifikia tu kile kitu kilichoonekana kama chungu kidogo sana huku kimezungushiwa matambala madogo meusi na mekundu makuukuu, nilishangaa licha ya giza zito lakini kilionekana vyema tu.
Nilikisogelea haraka huku nikiangaza macho huku na kule kuhakiki usalama wangu, nilikifikia na kuinama haraka, nilikitwaa na ghafla nilihisi mkono wangu wa kushoto kukakamaa na misuli kubana.
Nilitoka nduki...!
Nimwendo wa bandika bandua!!Woyooo hivi ndio napenda sasa endelea sasa
Kunamashambulizi ya kushtukiza mkuu, unajikuta unatamani uone kinachotendeka.Kwanini umekuwa ukishindwa masharti kila mara mkuu wangu? Kama ulivyofungua macho na kusababisha babu yako anusurike kuuwawa.
Endelea bwana utajibu watu ukimaliza storyKunamashambulizi ya kushtukiza mkuu, unajikuta unatamani uone kinachotendeka.
Nipo na washkaji, nashindwa kuwa bize na cm wakati wananipigisha stori hivyo nitaendelea mapema usiku kabla na baada ya droo ya champions league.Endelea bwana utajibu watu ukimaliza story
bhaaaaaaaaaanaaaaaaNipo na washkaji, nashindwa kuwa bize na cm wakati wananipigisha stori hivyo nitaendelea mapema usiku kabla na baada ya droo ya champions league.
Good..Fact, and now am back again to entertain my fans, enjoy my story.
Safi sana aseeNipo na washkaji, nashindwa kuwa bize na cm wakati wananipigisha stori hivyo nitaendelea mapema usiku kabla na baada ya droo ya champions league.
Acha tukimbize mkuu.Safi sana asee
Hahahaa! Et "vimeenda wapi" utadhani ni kachawi kazoefu kumbe hakajui hata matumizi yake shenzy kabisa!!!! ....Huku babu akinitazama na kungoja nitampa jibu gani,
Ghafla nilikumbuka kitu, niliangaza chumbani nisione nichokitafta, vimeenda wapi?