Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,532
- 8,280
- Thread starter
-
- #1,001
Tuendelee Mzee146
Babu alinitaka kutozungumza stori za ulozi tukiwa pale nyumbani, hivyo tutatafuta siku tuzungumze yote hayo.
Nilikaa kimya pale kitandani na babu akasema kama nikipona {yaani kukamilisha siku 3 bila sex wala kuoga} atanipa mtihani mdogo na nikifaulu atanipa hadhina ya kijiji.
Ndo nini hiyo babu? Nilimwuliza babu.
Pona kwanza na wakati wakati nakupa mtihani nitakueleza hadhina ya kijiji ni nini, alisema babu huku akiinuka kitandani pale na kutoka nje.
Nilijawa na shauku sana ya kutaka kujua hadhina hiyo ni nini hivyo niliona muda unakwenda taratibu mpaka siku tatu ziishe niliona kama mwezi mzima.
Nilikuwa mpenzi wa michezo hivyo nilitafuta radio one, nilisikiliza muhtasari ambao haukunivutia, haraka nilitafuta tbc taifa na nikatulia pale.
Baadae babu aliniletea msosi nikala huku akinitaka kumwambia bibi kwamba tulienda porini kwa ajili ya zindiko langu wala nisimfiche kitu.
Aliondoka na vyombo huku akinipa dawa aliyonambia ilikuwa ya usingizi, niliinya kisha nikalala.
Hhuuuh! Hhuuu! Sauti za mafisi
Ukiwa kwenye hot season hata kuandika unashindwaAchana namm ila achakujifagilia..kumbaf malzia stor zawanyabi
Shukrani mkuu, nitaweka kadhaa kabla na baada ya game ya stars.Pettymagambo twende polepole mkuu mpaka mfungo wa ramadhan uishe.
huna haja ya kuharakisha Hii hekaya
kama uko busy na shughuli zako we relax fanya kazi za Ujenzi wa Familia.
from,
Bariadi -- Simiyu!
Nitaweka vipande kadhaa jioni na usiku saa 4 pia.Kwa leo imetosha.
Pamoja sanaShukrani mkuu, nitaweka kadhaa kabla na baada ya game ya stars.
Nimekusoma ndugu, sitowajibu tena hao wadudu.Pamoja sana
nakushauri kitu kuhusu hawa vijana wenye midomo kama choo cha Shimo...
wachukulie kama wagonjwa wa Mirembe tu wala wasikunyime kasi ya kuendeleza hii hekaya au kufanya shughuli zako
Hawa ni kama mbwa waliofungiwa ndani hata wakibweka vipi... Hawana cha kukufanya
Akikusikia mi simo.Itoshe kusema babu nae ni mwanga tu, mambo yasiwe mengi.
Nipo kawe hapa kwa buldoza aposto ninikimetokea kunamuujizahuku A.K.A Mwamposa, sikanyagi mafuta, mimi naogelea kbsa kwenye mafuta. Mlete yunge na babu yako tupambaneAkikusikia mi simo.
mpaka ufike kwenye mafuta tayari watu wameshavimbiwa nyama yako.Nipo kawe hapa kwa buldoza aposto ninikimetokea kunamuujizahuku A.K.A Mwamposa, sikanyagi mafuta, mimi naogelea kbsa kwenye mafuta. Mlete yunge na babu yako tupambane
Anyway, kuna kahali flani hv kahewa, hebu endeleza story nifanye jambo langu, hakikisha yunge ana appear.mpaka ufike kwenye mafuta tayari watu wameshavimbiwa nyama yako.
Hilo jicho sasa.[emoji849]
Bukoli - GeitaNi gamboshi nini,[emoji23][emoji23][emoji23]