Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,404
- 5,577
Uongo yaani hata maji anakuchotea kwa uchawi na wengine wapo? Na yeye ulimkuta kwenye foleni? Wy hakujichotea?...97
Alichamba yunge mdogo na kuongeza, uwe na breki mdomoni basi, mtu anakuongelesha kirafiki wewe unajibu hovyo tu, sio vizuri hivyo tatu, alimaliza yunge ambae aliungwa mkono na wadada karibia wote walionekana kutofurahishwa na majibu ya tatu.
Alikaa kimya tatu huku aibu ikiwa waziwazi usoni mwake.
Basi walikuwa wakichota maji na kuondoka kimafungu mafungu kutokana na urafiki baina yao, hatimae ilifika zamu ya yunge mdogo ambae alikuwa akinitazama kwa aibu nadhani ni kutoka na kosakosa za jana.
Beba twende, alinambia yunge mdogo akinitaka nibebe madumu yangu ambayo yalikuwa na maji tayari.
Ameyajaza muda gani wakati kulikuwa na ndoo kama 5 kabla ya zamu yangu? Niliwaza, inamaana huyu anafanya uchawi mchana kweupe tena mbele ya watu?
Alikuwa ameshabeba ndoo ya maji na kuanza kuzipiga hatua kuondoka.
Nilibeba dumu zangu na kumfata yunge mdogo ambae alikuwa anatembea taratibu ili nimfikie.
Umenichotea maji muda gani? Nilimwuliza.
Achana na hayo bwana, alinikatisha.
Sawa lakini jana ulinikakomesha kwakweli.
imenibidi nirudi kwenye post yake ya mwsho ili nipate kumbukumbu😄 anatakiw achukue ushauri huu. Kweli mpaka unasahau mwisho ulikuwa wapi
Kuna watu wachawi dunia hii balaa, aafu kuhusu kufanya viini macho mchana kweupe tena mbele za watu, mwanzo hata mimi ilikua inanishangaza, lakini baadae nilikuja gundua karibia madem wote pale kijijini ni hatari kwa ulozi.Uongo yaani hata maji anakuchotea kwa uchawi na wengine wapo? Na yeye ulimkuta kwenye foleni? Wy hakujichotea?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 We jamaa kwa fix daaah ...Kuna watu wachawi dunia hii balaa, aafu kuhusu kufanya viini macho mchana kweupe tena mbele za watu, mwanzo hata mimi ilikua inanishangaza, lakini baadae nilikuja gundua karibia madem wote pale kijijini ni hatari kwa ulozi.
WEndouseme uwongo sasa.
Asante sana Mmarekani nimefika ngoja niisome!!
Stori nzuri sana, ulifaidi sana maisha ya kijijini Hongera [emoji2] [emoji2]...13
Basi tuliingia ndani ya slopu ile, nikaingia chumbani huku babu akiningoja pale sebleni, nilichukua elfu 60 ndani ya begi na kurudi nayo sebleni ambapo nilimkuta babu amengoja kwa hamu, nilimkabidhi akafurahi sana,
Kubyala kwa wiza (kuzaa kuzuri sana) alisema babu huku azificha fedha zili ndani ya puzo (bukta kubwa) alokuwa amevaa kwa ndani,
Usimwambie bibi yako kama umenipa mzigo, sawa mzee mwenzangu?
Alitahadhalisha babu, nikamwambia wala asijali, kwani bibi yeye nmempa masukari na maunga ya ngano kutoka kwa mama mkwe wake (mama yangu) hivyo simwambii chochote bibi,
Sawa pumzika kijana wangu, kesho ntakusimulia ntakayoyasikia huko kwenye tukio, alisema babu, kisha akaondoka,
Nilitoka nje kumuaga bibi kwamba nataka nipumzike, kwani nilitaka pia kuhakikisha kama babu ameondoka ili bibi naye nimpe mzgo wake,
Kweli babu alikua ameelekea senta kwenye tukio la fisi kuiba mtoto mapema tu,
Nilirudi ndani ya slop na kuchukua 50 elfu nikamkabidhi bibi na kumwambia, 30 imetoka kwa baba na 20 kwa mama.
Kuna njemba zinabisha humu.Nilichojifunza story hii na ya umughaka kanda ya ziwa kuna uchawi sana tena wa waz waz kabisa
Halafu ndio chanzo cha umaskiniKuna njemba zinabisha humu.
Thank rfk