Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,532
- 8,280
- Thread starter
-
- #221
Kuna muungwana ameintroduce Hilo neno.RIGHTING SKILLS ndio kitu gani? Ungekaa kimya tusingejua kwamba wewe ni mjinga.
Ulicho fanya umetudhihirishia kwamba wewe Ni MBUMBUMBU lakini una MBAMBAMBA.
Vp sijaona sehemu ambapo umesema mna ng'ombe hayo maziwa mlikua mnanunua?...60
Asante mama, najivunia kuwa na mchumba kama wewe, nilimpa sifa.
Wala usijali baba, wewe ndo furaha yangu, ila nakuomba usinifanyie mambo ya ajabu, aliomba yunge wa watu.
Hakuna wa kukuingilia miliki yako mama, hapa ni kwaajili yako pekeyako, nilimwambia yunge wangu ambae alikaa kimya kidogo na kusema, kesho naondoka nakwenda kijiji jirani, nimeagizwa mbegu kwa mjomba hivyo nitang'oa kwa siku mbili, basi nakuomba baba tukifanyishe mazoezi kile kidonda ili kipone haraka, alisema yunge akimaanisha tukutanishe vikojoleo vyetu.
Nipo tayari mama, tena nilimiss kwelikweli hii kitu, nikasema na kumvagaa.
Ningependa uwashe taa baba kwani nataka uone chakula chako, hii ni mali yako na ruhusa kujilamba vidole, alichombeza yunge wangu,
Hapana, leo tutafanya gizani mama, maana nikiona huruma itanivaa, nilitania.
Heee!! Kumbe leo vita, huruma hakuna? Aliongeza utani.
Tulifanya yetu japo wakati mwingine alistuka huemda ni kutokana na maumivu ya sex asubuhi.
Nyieuu! Nyieeu!
Khiii! Khiii! Sauti ya mapaka na mabundi, mh?
Kituooo...61
Zilikuwa ni sauti za paka na bundi juu ya paa la slopu ile, ilikuwa fupi sana nyumba ile hivyo kupelekea sauti zile mbaya zisikike kwa ukaribu kama zimo ndani kabisa.
Ng'eeeh, ng'aaaa!
Yalizidi kulia mapaka yale kwa sauti ya kuchukiziza mno, mabundi nayo humohumo ni misauti yao kama mangoma.
Mshiuuuuuu! Nilisonya kwa urefu, lahaulaa! Nikama nilimwaga petro kwenye moto,
Kelele ziliongezeka juu ya bati nakupelekea nitake kumwita babu kwani yunge alikuwa kimya tu kama hayupo.
Mshiuuuu! Alisonya yunge na mara moja vikasikika vishindo vya mapaka yakitua chini kwa nguvu kii, kii, kii na mbawa za mabundi yakipaa kisha kukawa kimya.
Kuna mtu anamtaka ubaya babu, wanamchokoza wenyewe kisha akijibu mapigo inakuwa huyu mzee mchawi, alisema yunge kwa hasira.
Sikuweza kujibu kwani bado mapigo ya moyo yalinienda mbio kwa hofu, hatimae nikasema, kama usingekuwepo sijui ingekuwaje leo.
Nimekwambia dawa umeharibu kwakuonesha kukubali kuwa umechanjwa, hivyo kama nisingekua ule msnyo wako ungewakimbiza.
Sasa umeamini?
Nikweli hakukuwa na ng'ombe pale kwa babu, ila kama umesoma toka mwanzo wa stori kunasehemu nilisema familia ya kina yunge na ile ya babu zilikuwa marafiki na kupelekea ng'ombe watatu wa babu kuwekeshwa kwao na yunge, mmoja wa maziwa na ndama wake na mwingine mkubwa wakufatwa na yule ndama.Vp sijaona sehemu ambapo umesema mna ng'ombe hayo maziwa mlikua mnanunua?
Yap, kesho ntazimwaga kuanzia saa 8 mchana kwani huenda nikapumzika na mihangaiko mpema.Kituooo
Sio wote wajuaji.Kumbe ningeingia zinga la Chaka kuoa Msukuma.
Nywanoko bhe weka story acha ujingaKuwa uyaone.
Sijasema utoto unakusumbua lakini.
Njoo katoro ccm hapaStamiko vile.
Nije?Njoo katoro ccm hapa
Uje unisimulie hapa ili iisheNije?