True memories

ROOM 47

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2022
Posts
2,300
Reaction score
7,500
Me and my wife tuna siku muhimu ambayo tumepanga rasmi kwa ajiri ya kuwakumbuka wale wote ambao tushawah kuwapenda kimapenz kama sehemu ya maisha yetu kabla ya kufunga ndoa kati yangu na wife.

Ipo hivi kila mwaka hasa ikifika December 26 boxing day hapa tumejiwekea rasm iwe siku muhimu kwa ajiri ya kuwaenzi wale ambao tuliwapenda kwa moyo wote, kwa nguvu zote ...yaani wife hapa ataanda majina ya ma ex wake ambao aliwapenda kutoka moyoni akiwa nao katika mahusiano ya kimapenz kipind hajajuana na mim ..hata mim pia hapa ntaanda majina ya mademu zangu yaani ma ex wangu ambao niliwapenda kutoka moyoni kimapenz before marriage na wife.. katika kila jina hapa wife ataelezea sifa za uyu mpenz wake wa zamani ni jinsi gani alipempenda hadi ikafikia time ya kuvunjika mahusiano nami pia ntaelezea kwa kila jina jinsi gani alikua ananipa mapenz ambayo sikuwaza kuyakosa maishani mwangu.

Hapa kutakua na jina pamoja na sifa za ex uyu husika kwa jinsi gani alivyokuwa anampa mapenzi mazito wife hasa wakiwa kwenye bedroom....me pia the same hapa ntakua nataja jina la ex husika na kutoa sifa zake kweny sita kwa sita ni jinsi gani alivyokuwa anipa utamu wa kuniridhisha kwenye bedroom.

Siku hii ya December 26 hua ni siku nzur sana kwetu na hua ni siku
ya fraha sana kwani tunavuta hisia za upendo kutoka kwa watu ambao tuliwapoteza kutokana na sababu mbalimbali za kimaisha ... mara nyingi mim na wife tuna amini kwamba mapenz yetu hayapo natural love bali kuna vitu vimetufanya tuwe pamoja yaani ile external power ndo imetoconnect tuwe pamoja na sio internal power.

Hii ilikuja baada ya kukaa kikao na kujadili ndani ya masaa sita na kikao hicho kilipewa jina la Uwazi na ukweli ..hapa kila mmoja alifungaka yale ambayo yapo moyoni kwake..tukianza na mm kwa upande wangu nilimwambia wife nimeingia kwenye ndoa na wew kwa sababu una kazi nzur ambayo itanifanya niwe huru katika utafuji wangu, pia nikamwambia kwenye family yenu hakuna watu wenye shida sana maana kila mmoja anajitegemea kiuchumi, pia sikutaka kuishi na mtu ambaye ntampenda ili niwe huru na moyo wangu cos niliowapenda walichonifanya anajua Mungu ...aahaaah pia zipo sababu nyingi kama wew mfupi mm napenda warefu,wew mweupe mm napenda Black girl.. ila kiukweli sijawahi kukupenda kutoka moyoni nikaishia kumwambia hivyoo.

Hapa wife alicheka sana mpaka nikashaangaa kuna nin au nimeongea ujinga kumbe nilimgusa kunako yaani hata yeye hajawahi hata kunifikiria kama ningekua mume wake basi imetokea kama upepo wa kisulisuli kwanza kabisa sina hata kigezo kimoja ambacho alikuwa ana wish kua na boy wa aina hiyo mm sina daah hapa nilichoka kidogo. Kwanza kabisa anapenda wale ma black boy jamii ya wasudani duuh hapa alinichosha tena..so mpaka akakubali kuolewa au kufungua ndoa ni kwa sababu ya wastage of time kwamba wale anawapenda wote walimpa za uso na kudondokea pua akaona bora afunge ndoa na kilichopo mbele yake.

Baada ya kikao kuisha so tukaweka mapendekezo.
Itaendelea...... next
 
Hujielewi na haituhusu bro
 
Craziest thing
 
Ww na mke wako mkapimwe akil
 
Mimi nikiwa na mahusiano sitaki kujua yaliyopita Wala mm simuhadithiii
 
yaani sijui mtazaa watoto wenye akili zipi kama nyinyi wehu na wapumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…