Truck bed cover (mfuniko wa bodi ya pickup)

Truck bed cover (mfuniko wa bodi ya pickup)

Mrbwire

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Posts
200
Reaction score
53
Heshima kwenu!

Naomba kujua wapi naweza kupata hard tonneau cover / bed cover ya Nissan Hardbody (Double Cab). Mwenye nao au anayejua wapi naweza kuupata tafadhali.

Ninamaanisha mfuniko wa bodi kama inavyoonekana pichani. Picha hii ni kwa ajili ya kuonesha ninachokihitaji - aina ya gari ni iliyotajwa hapo juu

1533200652615.png


Natanguliza shukurani
 
hebu mcheck Le mutuzi anaweza kukuuzia shati lake nadhani litakutosha mkuu kufunika ndinga yako
 
Back
Top Bottom