Trick: Download media zote Insta sasa

Tzhacker 000

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
659
Reaction score
690
Habari wanajamvi? Natumai wazima..
Leo nataka nionyeshe njia rahis ya kupakua media tofauti kene Instagram kwa kutumia app ndogo sana Regrann..
Unaweza ipakua hapa [emoji117] Regrann
Baada ya kupakua nenda insta copy link ya video njoo nayo kene Regrann paste hapo na utafanya kama unasave...nenda kwenye gallery na utaona video yako...

Nakaribisha maswali kwa watakaokwama.
 
trick za kupata viewer youtube huuuuuuuuuuuuu
 
Asante sana. Siku nyinngi najiulizaga najua haiwezekani.
Stay blessed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…