zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,220
Nimepigiwa simu muda huu kuwa,kuna mtu alitaka kudandia tren stand ya kamata kariakoo,
Inasemekana alikosea kuirukia na kujibamiza kwenye vyuma.
Walio karibu watujuze
Inasemekana alikosea kuirukia na kujibamiza kwenye vyuma.
Walio karibu watujuze