kwa treni ya umeme yangekuwa masaa saba au hata kumi. unapana asubuhi jioni umefika. kama umeme tunao, tunashindwa nini?umeme wa kinyerezi ukianda wabadilishe hizo treni jamani na litajiendesha lenyewe, kwa siku moja watu wanaosafiri huko ni wengi ajabu, watapata hela nyingi sana na shirika litajiendesha lenyewe ili tuache kupanda mabasi.Masaa 30 si bora nibebe mizigo yangu nitembee kwa miguu.
Huyo mwenye suti na tai ndo yule mtoto wa mkulima wa kulialia aliyesemaga BVR ziko poa zitapiga kazi na kumaliza mwezi april 30 au?