Kuna siku mvua imenyesha magari yamekwama njiani, wale wenye 4×4 wakawa wanatanua na kupita pembeni kibishi.
Akatokea dereva wa Ist yenye 4wd akasema atapita gari yake ina 4wd hakusogea hata hatua 10 gari ikawa imekwama kwenye tope mbele haendi wala nyuma harudi.
Kaishia kukanyaga ekseleta na gari haisogei popote.