Haiwezekani mkakimbiza Mwenge halafu mkawa Na mafanikio ya kudumu.Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanzisha mpango wa kununua injini za dizeli ili kuhakikisha huduma ya usafiri wa reli ya kisasa (SGR) bila kikwazo endapo umeme utakatika.
View attachment 3175720
Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa, amethibitisha hilo na kuelezea kuwa tayari kampuni moja imebainishwa kuzalisha injini hizo.
View attachment 3175721
Huduma ya reli kutoka Dar hadi Morogoro imekuwa ikikumbwa na changamoto ya umeme mara kadhaa na kusababisha abiria kukwama safarini kabla ya kufika wanakokwenda.
-------------------------------------------
Taarifa hii inakuwa mwiba mkali sana kwa machawa na wale wazee wa mapambio. Mkipewa mawazo na watu sio kila wakati mnatakiwa kuwaona ni wapinzani. Sanja boy umefeli sana wewe pamoja na timu yako.
View attachment 3175722
Mlipoambiwa kuwa mnakwend kufanya project ambayo baadaye mtarudi kule kule, mliwaona wakosoaji ni chadema. Mlisema na kuwaaminisha watanzania kuwa umeme ni wa uhakika na treni hazitopata tatizo la kukatika.
Enewei nyie ndo wateulewa Rais! Wote tuseme kwa sauti moja kuwa MAMA ANAUPIGA MWINGI! Tusubirie machapisho na hongera nyingi kwa TRC
Maskini. Utashangaa diesel itatumika zaidi ya umeme aha ha ha aaHaiwezekani mkakimbiza Mwenge halafu mkawa Na mafanikio ya kudumu.
Piga chini CCM haraka sanaHuu ni uzwazwa
Umeme ni nishati ya gharama nafuu sana. CCM ni chama Cha mijitu iliyolaaniwa. Inawaza wizi tu Na wala Hawana ndoto ya kulivusha taifa letu.Maskini. Utashangaa diesel itatumika zaidi ya umeme aha ha ha aa
Inasikitisha sana. Nikiangalia hali ya mwendo Kasi. Kwa kweli CCM ni laana Kwa TaifaUmeme ni nishati ya gharama nafuu sana. CCM ni chama Cha mijitu iliyolaaniwa. Inawaza wizi tu Na wala Hawana ndoto ya kulivusha taifa letu.
Hebu jiulize kuanzia kimeanza kujiita chama Cha Mapinduzi kimefanya Mapinduzi GANI?
Mwendokasi ni mradi mfu hivi sasa.
Umeme wa gesi haujawahi kutusaidia
Upumbavu ndio umetamaliki halafu jitu kama Lucas Mwashambwa linashabikia upumbavu huu Na kusema mama anatosha, Pumbavu kabisa.
Pole Mkuu ndo nchi yetu 😔Umeme ni nishati ya gharama nafuu sana. CCM ni chama Cha mijitu iliyolaaniwa. Inawaza wizi tu Na wala Hawana ndoto ya kulivusha taifa letu.
Hebu jiulize kuanzia kimeanza kujiita chama Cha Mapinduzi kimefanya Mapinduzi GANI?
Mwendokasi ni mradi mfu hivi sasa.
Umeme wa gesi haujawahi kutusaidia
Upumbavu ndio umetamaliki halafu jitu kama Lucas Mwashambwa linashabikia upumbavu huu Na kusema mama anatosha, Pumbavu kabisa.
Chama Cha MashenziJiulize sasa nguzo hizo na gharama za kuweka mifumo ya umeme ilikuwa za kazi gani?Si zingejengwa tu lami za kutosha Nchi nzima tena 4ways kwa Mikoa mikubwa hii..
Akili zetu zina shida pahalaa sio bure..sisi tunashida pahala.
nimekata tamaa kabisa,kadagosa kama CEO wa trc unaongoza huu ujinga kabisa!Umeme ni nishati ya gharama nafuu sana. CCM ni chama Cha mijitu iliyolaaniwa. Inawaza wizi tu Na wala Hawana ndoto ya kulivusha taifa letu.
Hebu jiulize kuanzia kimeanza kujiita chama Cha Mapinduzi kimefanya Mapinduzi GANI?
Mwendokasi ni mradi mfu hivi sasa.
Umeme wa gesi haujawahi kutusaidia
Upumbavu ndio umetamaliki halafu jitu kama Lucas Mwashambwa linashabikia upumbavu huu Na kusema mama anatosha, Pumbavu kabisa.
Mbuzi mwekundu, Kadogosa ni ndugu yako. Nchi isiyo Na Sheria Kali hakika ni shamba la Bibi.nimekata tamaa kabisa,kadagosa kama CEO wa trc unaongoza huu ujinga kabisa!
Na diesel ⛽⛽⛽ ni frusa kwao 🤣🤣🤣🤣🤣 ngoja aupige mwingi.Unaanzishaje SGR wakati una umeme wa mafungu,anyway ngoja walete hizo engine dizeli ukute nazo ni used,watendaji wa serikali kwa kucheza na ma gap hawajambo