Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Shirika Ia Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuhusu ajali ya treni ya EMU iliyokua ikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma majira ya saa 2:00 asubuhi Oktoba 23, 2025
Taarifa ya TRC imeeleza kuwa ajali hiyo imesababishwa na hitilafu za kiuendeshaji, tukio hili limetokea kituo cha Ruvu na kwa taarifa za awali hakuna tukio la kifo.
Soma: Treni ya SGR yapata ajali asubuhi leo Oktoba 23, 2025 ikitokea Dar kuelekea Dodoma
TRC imesema Timu ya wataalamu ikiongozwa na Katibu Mkuu Uchukuzi, Mkurugenzi Mkuu TRC, vyombo vya ulinzi na usalama na menejimenti ya TRC inaendelea na uchunguzi wa kina na juhudi za kuhakikisha kwamba huduma zetu zinarejea haraka