Travelling document. . .


sasa tuliojilipua na uraia wa congo nao inaandikwa uraia wa tanzania kweli?? au hiyo yako iko vipi?
 
Wewe piga simu ubalozini. Hapa unaweza kuambiwa hata yasiyo. Au ingia kwenye tovuti za balozi za Tanzania ujisomee na kujionea mwenyewe. Najua ubalozi wa Tanzania Marekani una hizo taarifa. Tumia google kupata tovuti yake.

Done. . .
Nimepata majibu tayari kazi kuyafanyia kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…