Samahan nimekosea title nilimaanisha TRANSFERWakuu naomba kuuliza kama kuna anaye fahamu kama inawezekana kuhamisha admission kutoka chuo kimoja kwenda kingine. Na kama inawezekana process ni zipi... Mfano umechaguliwa mzumbe ila unataka uhamishiwe TIA
Nenda TIA KACHUKUE BARUA INAYOONESHA KWAMBA NAFASI IPO THEN RUD TCU WAPE. BUT NAHIS KUNA KIASI CHA KULIPA. ME MDOGO WANGU KAFANIKIWA KUHUMAMA FROM IFM TO USTAWI. BUT UFANYE FASTA KABLA MASOMO HAYAJAANZAWakuu naomba kuuliza kama kuna anaye fahamu kama inawezekana kuhamisha admission kutoka chuo kimoja kwenda kingine. Na kama inawezekana process ni zipi... Mfano umechaguliwa mzumbe ila unataka uhamishiwe TIA