Imepanda!Winga anayetisha Angel Di Maria (26) anatua Old Trafford kwa dau la £56m. Hii itaweka rekodi mpya ya dau la usajili ndani ya EPL.
'Killer' Radamel Falcao (28) sasa huenda akatua ManCity, huku Alvaro Negredo akielekea Valencia kwa mkopo.
falcao anatua manutd kwa mkopo
Falcao anatua arsenal kwa 55M£
Falcao ameshatua man utd kwa mkopo
Falcao anatua arsenal kwa 55M£
huku Di Maria, kule Falcao SIPATI PICHA!
wingers young valencia
mabeki johnny Evans bracket
viungo carrick fletcher
sipati picha
Carlo Rojo, Blind, Luke Shaw, Rafael hawa mbona huwataji?