Transfer/Moving files Btn Computer and iPad 2

Buswelu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Posts
1,998
Reaction score
359
Wakuu

Mtu kaniletea i Pad hapa sasa ataka baadhi ya file kutoka kwenye computer kwenda kwenye ipad, ex, vitabu, movie,music joke clips

Nimejaribu ku google lakini sijapata hopeful results can some help on this kama umeshakutana na swala kama hili.

Regards
Buswelu
 
Mkuu umejaribu file sharing katika iTunes?
 
Mi natumia itunes kwene MAC yangu kuhamisha, nimeweza mp3, movies baada ya kwa converted kwa hiyo itunes na mafaili mengine sijajua maana sina interest zaidi.
 
Mi natumia itunes kwene MAC yangu kuhamisha, nimeweza mp3, movies baada ya kwa converted kwa hiyo itunes na mafaili mengine sijajua maana sina interest zaidi.

Gosh...kumbe need apple ID authorized for apple store...and all ur credit card information need to be on ur iPad....Dah na kama huna credit,Visa,master card what can you do? au ndio unakuwa hauko global na ipad is not for me?

Bila Apple ID sijui ujanja gani unatumika mkubwa, mi natumia Apps zote kutoka kwa Apple store.
 
Bila Apple ID sijui ujanja gani unatumika mkubwa, mi natumia Apps zote kutoka kwa Apple store.

Thanks mkuu nina Apple ID..lakini kila inapofika credit information ndio nakosa...ila soon june ntaweka.niko pori ndio maana nashidwa ku activate. Ila thanks i hope apple ID with required information will work naona application nyingi mpaka apple ID.

Regards
Buswelu
 
Kama unataka upate free Applicationa ebooks and Games inaweza Jailbreak Ipad 2 yako hawafu utadownload ebook,mp3,games,latest apps all for free in your Ipad 2 , sio ivyo tu ikujailbreak unaongeza Ile Capability ya ipad 2 yako ambayo apple wanailimit. But its your choice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…