Transfer kupitia nacte course za afya

KAJAMBARIS

Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
22
Reaction score
1
Inawezekana kufanya transfer ya chuo na faculty kwa wale tuliochaguliwa na nacte course za afya mfano diploma in pharmaceutical science kwenda diploma ya clinical medicine
 
pharmacy nasikia iyo course unakaa dirishan kugawa dawa tu ....transfer haipo labda uahirishe mwaka
 
Inawezekana kufanya transfer ya chuo na faculty kwa wale tuliochaguliwa na nacte course za afya mfano diploma in pharmaceutical science kwenda diploma ya clinical medicine
Kwa nini unataka kuhama?
Mbona pharmacy ipo poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…