KAJAMBARIS
Member
- Sep 8, 2015
- 22
- 1
Inawezekana kufanya transfer ya chuo na faculty kwa wale tuliochaguliwa na nacte course za afya mfano diploma in pharmaceutical science kwenda diploma ya clinical medicine
Usilolijua ni sawa na usiku wa gizapharmacy nasikia iyo course unakaa dirishan kugawa dawa tu ....transfer haipo labda uahirishe mwaka
Kwa nini unataka kuhama?Inawezekana kufanya transfer ya chuo na faculty kwa wale tuliochaguliwa na nacte course za afya mfano diploma in pharmaceutical science kwenda diploma ya clinical medicine