Transcribers wanne wanatakiwa haraka

Transcribers wanne wanatakiwa haraka

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
3,097
Reaction score
1,356
We are in need of four transcribers.

Qualities.
1.Good english listening and writting.
2. Good typing speed.

Please contact me at 0784321716 as soon as possible.
 
no 1 inanifaa mm

hahahhaa, kumbe inabidi aanddike kiswahili asee, transcriber ni mtu anayebadili sauti kuzipeleka kuwa maandishi. unasikiliza kilicho kwenye audio file wakati huo unachapa ziwe text. naona mkuu KATASAN'KAZA unasema watu lazima wawe dar, nina vijana huwa wanafanya hizo kazi lakini hawako dar, kama una kazi kubwa na unahitaji huduma unaweza kuniinbox.
 
Last edited by a moderator:

Asante mkuu but tunataka waliopo hapa dsm na kuna muda tunakuwa tunakuwa nao field. But tayari wamejitokeza wengi tu.
 
Last edited by a moderator:
hahahhaa, kumbe inabidi
aanddike kiswahili asee, transcriber ni mtu anayebadili sauti kuzipeleka
kuwa maandishi. unasikiliza kilicho kwenye audio file wakati huo
unachapa ziwe text. naona mkuu KATASAN'KAZA
unasema watu lazima wawe dar, nina vijana huwa wanafanya hizo kazi
lakini hawako dar, kama una kazi kubwa na unahitaji huduma unaweza
kuniinbox.

mihaya na sifa? kwan lazima niwe na sifa zote? toa ushamba hakuna ambae hajui ilo neno
 
Last edited by a moderator:
Just to say thanks for those who have shown their interests to work with us. Kindly receive that informed with humble ni KWAMBA TAYARI TUMEPATA WATU WA KUFANYA NAO KAZI MUNGU AWABARIKI ASANTE KWA USHIRIKIANO.
 
Aisee, mbona mimi hadi nilikupa namba ya simu, ina maaana hata shortlisted sikuwepo? By the way, should you look for a translator, please do not hesitate to contact me.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom