Training Tutorials

Wangapi wamewai kutumia wordpress kwa kutengeneza blog/website?

  • Mimi sijawai atakujaribu kutumia wordpress

    Votes: 1 100.0%
  • Mimi nimejaribu ila sijawaikutengeneza kitu kinachoeleka.

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    1

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
913
Reaction score
923
Habari wanaJF, napenda kuwafamisha kwamba napenda kuwafundisha watu vitu vifuatavyo kupitia youtube video.

1. Namna ya kununua vitu online kupitia kadi(VISA,MASTERCARD) kwa mgongo wa PAYPAL ACCOUNT

2. Namna ya kutengeneza blog/website kwa kutumia wordpress & joomla

3. Namna ya kutangaza biashara yako online kupitia social media kama FACEBOOK, namna ya kupata viewers wengi kwenye blog/website yako.

4. Namna ya kuweka matangazo ya GOOGLE ADSENSE kwenye blog/website yako.

5. Namna ya kujifunza kutengeneza website kwa kutumia HTML5 na BOOTSTRAP FRAMEWORK.

6. Namna ya kutengezena system kwa kutumia PHP & MYSQLpamoja na kipengele namba 5.

Kura ndo zinaamua nianze kutengeneza video ya training gani kati ya hizo hapo juu.


Nawakilisha kama mdau wa jukwaa hili la IT.
 
Zte chai
 
Anzisha group la whatsapp bro tujiunge
 
TUANZISHE GROUP KK ADIMIN NIPO HAPA LETA NAMBA NIADD WATU CHAP TUANZE KUPEANA MAUJUZI
 
Reactions: dtj
umeanzika tangazo halafu umepotea mkuu? mimi nitakufuata unipigie pindi la bootstrap
 
Anajua MTAMTAFUTA tu... maana kawaonjesha utamu kisha kapotea. Jina lake lenyewe "Undefined" Eti "divisiblebyzero"
 
Kwaiyo nianze na namba ngapi wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…