TRAIN ya Ajabu ni Serikali za CCM za akina Mkapa na Kikwete

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,745
Nilikuwa nasubiri kauli hii ambayo niliitarajia siku nyingi ,Mh.magufuli amelusha dongo zito sana sana na amewapopowa wale waliomkabidhi vijiti.
Kikwete bana bado kijiti cha CCM jamaa anakisubili ili aptishe operation ya kuchinja majipu naona Uongozi wa magufuli na Seif Sharif upo njiani ili kuikomboa Tanzania na Train ya ajabu.
Lazima Sheini na serikali yake haramu waondoke ili kupisha gurudumu la maendeleo kwa WaTz lisonge mbele,inafikia lana kiongozi mkuu kumbaka mtoto wake ,kumbaka aya sheria ya ubakaji ifuate mkondo !
 
Back
Top Bottom