Train Bridge

vipi mida ya jioni wale watumiaji wa ile kitu ya BobMarley hukutaninao kweli mitaa hiyo?
 
hapa kwetu bongo hiyo ni chuma chakavu, itagombewa kama mpira wa kona
 
inaelekea maeneo hayo hayana wazee wa chuma chakavu.
 
Hili daraja linafaa sana kuwekwa tandale kwa mtogole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…