Hao viumbe faida yao barabarani ni ndogo sana ukilinganisha na usumbufu wao kwa madereva magari.
Binafsi huwa sipendi kabisa kuwaona barabarani kutokana na kuendekeza kwao njaa, na pia kupenda kwao kuwalipisha watu faini za kipuuzi ili tu kutafuta makusanyo ya kuendeshea serikali iliyoshindwa kutafuta vyanzo sahihi vya mapato.