Kuweka askari kwenye mataa ni sawa na kutenga ugali na makande kwenye meza moja ukijidanganya kuwa ni vyakula tofauti
Aisee yule maza bonge yupo fair sana. Yaani anaita kwote equallyUkiacha yule Mama...wengine woote hovyo hovyo pale
Kwa nini huyo mama awe exceptionalUkiacha yule Mama...wengine woote hovyo hovyo pale
Si utani majuzi tulikaa masaa almost mawili toka external hadi mataa UbungoMmnafanya nn barabarani wakati taa zinafanya kazi? Kwa 100% foleni mnasababisha nyie..
wewe ni dereva!!?Lakini nyakati zenye msongamano mkali zikitumika taa wenye Magari wengine hawatii taa zinavyoonesha, unaweza kuta taa zinawaka nyekundu lakini wenye Magari ya upande hisika wanaendelea kwenda badala ya kusimama,
Pia wakati mwingine unakuta upande flani Magari yamejaa hadi foleni inakuwa haiendi kabisa hata Kama taa zao zinaruhusu ,
Sasa hapo inabidi Askari aingilie kati kuwezesha upande mwingine unaoendeka uendelee !
Na wanaruhusu mwendo kasi tu.Kweli aisee huku kwetu traffic anaruhusu magari kwa kuangalia uzuri wa gari ,Mfano kama ktk foleni gari lililo tangulia ni vits daah mutachelewa kutoka ila kama kuna v8 imetangulia mapema tuu hata sec 10 hamkai.Pkpk ndo usiseme ,mutachoma mahindi
So rahisi kuelewa mpaka use mtumiaji was ile njia kila siku asubuhiKwa nini huyo mama awe exceptional
DuSo rahisi kuelewa mpaka use mtumiaji was ile njia kila siku asubuhi
Mkuu keypad ya kichina nisamehe bure Ila utakuwa umenisoma
Kuna Trafiki yupo maeneo ya Jangwani ile njia ya nyuma ya ofisi za Mabasi ya Mwendokasi ipo siku yako utatrend kwenye social networks!!.