Trafiki barabarani munaonea Wananchi

israel tarimo

New Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
3
Reaction score
4
Mweshimiwa waziri wetu wa usalama,tunaomba uangalie saana jinsi polisi wanavyokusanya fine barabarani,siku hizi ukubali kosa au ukatae kosa unaandikiwa,huna pa kujitetea,sio sawa kabisa.kosa kama taa haziwaki kama indicater,breck light,ni vitu vinawezakutokea hata ukiwa unaendesha gari bara barani.ni makosa ya kiufundi,haya trafic anapaswa kutujulisha sio kutupiga fine.tunaonewa sana jamani tunaomba msaada jamani.huu ni uonevu kabisa.
 
Kuna makosa yanayohusisha Onyo, kuna makosa yanayohusisha Fine na kuna makosa yanayohusisha Mhimili wa Mahakama. Wenzetu wakishika zile POS zao kila kosa ni Tozo tu, tena wakati mwingine wanahesabu makosa sita na kila moja wanataka utoe 30 ambayo inaweza fikia 180,000/= ukiwaeleza ukweli wanadai unawafundisha kazi, ukiondoka kimia kimia wanakufukuzia kwamba umewakimbia. Inshort Traffic wetu ni wanyanyasaji sana.
 
Ndo zao hizo, katika kitu ambacho kinatakiwa kufanyiwa kazi ni police brutality. Ni wakati sasa wizara kuunda kitengo cha kushughulikia maonevu ya polisi ili raia wawe wanapeleka malalamiko huko. Kwa sababu hata ukienda kuwalalamikia kwa mabosi wao wana tabia ya kulindana, utaishia kukandamizwa tu.
 
Hakuna uonevu wowote hapo, wewe unasema kutokuwaka taa ni kosa dogo , je ikisabanisha ajali na kuuwa watu utasemaje? Hakuna kitu kama kosa dogo, kama huwezi kulipa faini kwa kuendesha gari lenye hitilafu paki panda basi.
 
Kunaweza kusiwe na msaada wowote kwa makosa hayo kwa sababu imeshachukuliwa kuwa ni chanzo muhimu cha mapato kwa akina Zakayo. Vinginevyo hiyo trilioni 1.76 iliyovunja rekodi mwezi uliopita haitafikiwa tena na kuna watu wanataka sifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…