Trafic huyu jamani

Hivi haijabomolewa bado? si kipindi kile walisema itabomolewa kwa kuwa imejenga juu ya bomba la mafuta.
Any way mie napenda sana kucheza dansi pale Nyumbani (Samaki Samaki)
Haijabomolewa juzi nilikuwa hapo sjui pombee ilikuwa kumkwich badala nishuke ground na lift nikaishia gorofa ya pili nikaanza kushangaaa vepeee tena huku nimetokea wapi nageuza macho niangalie lift nashangaa ipo gorofa ya 3 ikabid nishuke mdogo mdogo huku nayumba kama gar ya dangote imezidiwa mzigo
 
Huyu trafik alinisimamisha siku moja wknd jpili nilikua naenda msamvu,nilihofu kiasi kwasababu sikua na lesen niliisahau home
akakagua vya kukagua na vimaswal vya hapa napale,triangle,bima,etc
nilikua na wanangu wakamchangamkia akatuachilia...

Basi imekuwa kawaida yake akiniona tu atafanya vimizengwe mradi nipunguze speed,
juzi nilimkuta kituo cha kanisani bas aliponiona akasogea barabarani nikampa hi ,na katabasam kakulazimisha (kwasabab siwapendi trafiki,police,wajeshi kwa ubabe wao huwa natamani kuwa mbabe zaid yao) ,.. basi imekuwa NDALILO ,jana ndo kajifanya kuvuka barabara mbele ya gari nayoendesha jicho lote kwangu akatoa kaulimi kidogo!oooohhh
nachojiuliza ananijuaje ni mbiti? kama kakariri plate # basi na mimi nikariri namba zake za begani!lols

natamani asihamishwe barabara lol niwe namuona tu
[HASHTAG]#akilizapasaka[/HASHTAG]

cc NAHUJA
Mtoa mada we wachukie hao ma traffic na polisi wale wengine JWTZ wasamehe wale wana afadhali
 
Haijabomolewa juzi nilikuwa hapo sjui pombee ilikuwa kumkwich badala nishuke ground na lift nikaishia gorofa ya pili nikaanza kushangaaa vepeee tena huku nimetokea wapi nageuza macho niangalie lift nashangaa ipo gorofa ya 3 ikabid nishuke mdogo mdogo huku nayumba kama gar ya dangote imezidiwa mzigo
hahahahha au vile vitaa vyao vya rangi rangi viliku miksi hahahahahahaha
 
hahahahah, onja ladha ya "trafic" mweusi. hahahahahah. Unaonekana shoga uliolewa ukiwa "sealed" na hujaona tena nyingine, hebu onja ya askari wa kikosi cha usalama barabarani (mweusi) ulinganishe na ya Mr, wako hahahaha.

Akili za kuambiwa changanya naza kwako (JK)
Duu huu ushauri wa nguvu za giza
 
Back
Top Bottom