S sukununu material Member Joined Jul 30, 2013 Posts 8 Reaction score 2 Aug 19, 2013 #1 Wale traffic wanaokusanya fedha bila risiti leo jumatatu wamerudi kwa kishindo hapo mto nduruma na wanaendeleza zoezi Lao la ukusanyaji fedha isivyo halali. Takukuru mpo wapi jamani au na nyie mnashirikiana nao?
Wale traffic wanaokusanya fedha bila risiti leo jumatatu wamerudi kwa kishindo hapo mto nduruma na wanaendeleza zoezi Lao la ukusanyaji fedha isivyo halali. Takukuru mpo wapi jamani au na nyie mnashirikiana nao?