Traders wa gold mnaendeleaje huko mliko?

Traders wa gold mnaendeleaje huko mliko?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,554
Reaction score
20,359
GT
Hii January imekuwa ya moto.sana hasa kwa traders wa gold ✨️ kuanzia 15th volume ilibadikika na kuwa kubwa sana.

Imagine one candle katika time frame yoyote iko 3 times ukilinganisha na miezi ya nyuma. Wazee wa kuflip account wamesizi maana $100 inaweza potea kwa candle mbili tu.

Broker kama exness amefunga kabisa kutrade gold kwa mda maana soko halieleweki kabisa na Jana ndo ilikuwa balaa zaidi from $5500 to $5100 in one hour what a massive drop.

Tuendelee kusubiri hope mambo yatakaa sawa turudi tena sokoni ila kama una mtaji mkubwa ni opportunity nzuri kutengeneza pesa. Baada ya hizi levels tunatarajia itabounce back we go again more higher Risk management ndo kila kitu katika hii business.

FB_IMG_1769753311528.jpg
 
Hii kitu niliisoma kwenye kitabu cha currency trading for dummies nikaona kama betting tu🤔
 
Boss kwa umri wako, sio kila kitu mpaka uone, mengine tafsiri kwa ufahamu wa kawaida. Kwani hukusoma mambo ya 'hali ya mwandishi ' (tone of the writer/ poet)
Umesema ni wewe kaka sio kwa wote , wapi kwenye post yangu nimesema ni kwa wote?
 
Nazani big boys wanachomoa hela wakaweke Kwenye stock market Sasa hofu imepungua
 
Back
Top Bottom