sukuma boy
New Member
- Nov 9, 2017
- 3
- 3
Natafuta tractor used mwenye nalo au kasikia sehem
Npgie nna Massey 0718093225Natafuta tractor used mwenye nalo au kasikia sehem
Kwanini usiende kwenye maduka ya tractor mjini? watakupa contact za mwenye used tractor.Natafuta tractor used mwenye nalo au kasikia sehem
nahitaji tractor... nichekiIpo John deer70 Inauzwa Mln 15 tu Imetoka denmark tangu ije haijapiga kazi iko tu
Ova
Kesho mapema nakucheck mkuunahitaji tractor... nicheki
agriculfarminc@gmail.com
Nimekutumia email unaweza nijibu pianahitaji tractor... nicheki
agriculfarminc@gmail.com
sure.. ndio maana nimeweka hapo mkuu
Nimekutumia mail tayarisure.. ndio maana nimeweka hapo mkuu
ni million 26, haina jembe wala tela mkuu mie si muuzaji ila ka upo interested nikuunganishe na muhusika
mkuu mie hizo situmii, nashukuru