Sijakusoma kiongoziDa 70000 mara hizo Hecta mafuta ya laki sita dreva laki nne faida milooo na laki moja
ugali unanipitia usoni nikiwa naona mjomba uledi bwana juzi anampiga sound tycoon lima miwa
Sijakusoma kiongozi
Cumins, Ili uweze kulima hilo shamba kwa muonekano unaotaka na udongo wa mkuranga, na eneo linaonekana kama halijalimwa mda mrefu inabidi upate tractor yenye horse power kuanzia 80 na iwe na jembe zito la tani 3 na kuendelea chapa samaki, Kwa mie ulaji unanipita kando kabisa nina Ford 4190 95 HP ila liko Morogoro linaweza kulima chini mpaka inchi 12....Ila kwa upande wa mkuranga kupata tractor ya kulima hivyo utataabika kidogo kwani wana matrekta madogo madogo kutokana na udongo wa huko 70 % ni mlaini kichanga..Yeyote mwenye kutoa huduma ya kilimo kwa njia ya tractor.
Nahitaji huduma hiyo. Mahali shamba lilipo ni Magoza mji mpya kabla ya kuingia Mkuranga.
Ofa yangu ni 70000tsh kwa heka.
Zipo heka 30.
Nahitaji tractor lilime wala sio kupalia kama picha zinavyoonyesha.
View attachment 414506View attachment 414506
Wasiliana nasi ktkt namba 0714796870View attachment 414506View attachment 414509
+255624070410
mkuu bado unalima na hiyo MF240?kwa display yako ya tractor lol imebidi nistuke mimi nalima kiteto hekari moja 40000tsh MF 240