Tractor-ford 5000 for sale

Tractor-ford 5000 for sale

Status
Not open for further replies.

Nantes

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
544
Reaction score
144
Kama inavyoonekana kwenye picha kwa mawasiliano zaidi ni pm na kwa aliye serious bei yake ni nzuri
 

Attachments

  • ford 5000-5.jpg
    ford 5000-5.jpg
    65.2 KB · Views: 216
  • FORD 5000-6.jpg
    FORD 5000-6.jpg
    57.8 KB · Views: 193
  • FORD 5000-7.jpg
    FORD 5000-7.jpg
    60.3 KB · Views: 180
Kama inavyoonekana kwenye picha kwa mawasiliano zaidi ni pm na kwa aliye serious bei yake ni nzuri

Iko mji gani hiyo mkuu? na ni bei gani? ni used ama used? imelipiwa ushuru?
 
Iko mji gani hiyo mkuu? na ni bei gani? ni used ama used? imelipiwa ushuru?
ni used kama unajua tractor huwezi ukasema Ford 5000 ni mpya,na trekta hazina ushuru kuwa serious na maswali yako
 
ni used kama unajua tractor huwezi ukasema Ford 5000 ni mpya,na trekta hazina ushuru kuwa serious na maswali yako

Hahaha, unapouza kitu lazima uandike status yake ama condition yake kama ni mpya ama imetumika. Unapopost kitu hapa si kila mtu atakielewa. We ungetoa details zaidi iko wapi na ni bei gani na kama nikitaka kununua taratibu zikoje na kadharika
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom