Tra

Jaman jamaa wamemaliza kuita, mbona mnakuwa wabishi kuamini.Kuna mtu juzi j4 alienda kuwauliza akapewa hilo jibu.WE ARE DONE WITH THE EXERCISE OF CALLING SUCCESSFUL APPLICANTS. and 91 APPLICANTS HAVE BEEN CONTACTED.
Ila mtu akitwa ni kwamba imetokea bahati tu lable kuna kapost kalikuwa vacant na kanahitaji mtu fasta.Na muda unavyozid kwenda ndo msitegemee kuwa labda matitwa.
Cdhani kama juzi na jana kuna mtu kaitwa.
We don't know what God has reserved for us guys, Lets go out for other opp.
We the best that much i believe. Don't feel so down, lets keep on hustling.One day we will be there where we want to be.

Put a big smile on your face.Life goes on.......!!

TRA-DEAD N GONE
 
I love that faith,ila tu waloitwa bht zao.kwa uchunguz mdogo nloufanya nimegundua madhaifu mengi,zoez lingeendelea kuwa mikononi mwa Mzumbe basi lingekuwa free n fair mpaka mwisho,i mean kama wenyewe wangewacontact last successful ppo,tatzo wamerudisha majina TRA na huko kuna mengne yalotendeka kimtindo,ila mgawa nafasi Mungu bado yupo tena hajaishiwa.lets just move on as u said J'jay
 
Last edited by a moderator:
Ndo ivo mkuu,uchakachuzi lazima.cha kufanya ni kusahau kuhusu hilo la tra ili mambo mengine yaende.
Hakuna aliye zaliwa ili aje afanye kazi tra ni fursa zinajitokeza mtu anabahatika kupata nafasi na wengine ndo wanaforce kwa kujuana au kutoa chochote kitu.kikubwa ni kupeana updates za opp mpya.
Pamoja sana wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…