PSPA Pure'12 udsm
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 834
- 450
wewe ulikuwa shimoni au porini?Salaam. TRA wametangaza nafac za kazi kwa wenye masomo ya Economics, law, accountacy, customs, taxation, business administration, finance etc. Deadline ni 20 April. Age limit ni 30 yrs. Application zinafanyika online kupitia Tanzania Revenue Authority - Home then unabofya kwenye vacancies. Watumie vijana waliomaliza chuo na advance diploma ili waombe.
wewe ulikuwa shimoni au porini?
Labda application zmejaa..hata me nmetuma cjaambulia msgmm nimeapply ila sijapata email ya kuniambia application yangu imepokelewa?wadau hapa sasa nifanyejeeee maaana siamini na nimejaribu kama mara mbili kimya
Ubaya wake uko wapi ndg yangu hadi ukaamua kumuuliza ivyo?wewe ulikuwa shimoni au porini?
kigezo kingine kujua umeshatuma ukilogin huikuti post ile uliyoomba mara ya kwanza.
Umemaliza ndugu, pia ukisubmit application yako utapata ujumbe unaosema your application has successful saved
Acheni utumwa wa kuajiriwa mnahangaikaa bure nafasi hizo zina wenyewe wanasubiria tu muda anzeni kujiajiri fursa ziko nyingi angalia kila eneo nini unaweza kufanya hata kama ni kuuza nazi
Habari wanajamii. Watafuta kazi wenzangu, mimi nami niliforwadiwa huo ujumbe kwenye whatsup ya kazi za Nmb. Nikabidi nimuulize kaka yangu yupo makao makuu. Ni kwamba hamna kazi hizo nmb walizotangaza. Watu wanawachezea watu. Wametunga hizo msg na kusambaza whatsup. Ni kama ile iliyotokea ya Mwanza community Bank. Agency fek wakatangaza nafasi then wakawa wanaomba watu rushwa. Sijui ni kwann watu wanachezea minds za watu. Wanatumia hii ya watu kukosa ajira ni faida yao kuwachezea. Watanzania inabidi tuungane pamoja na sio kuchezeana hasa katika kipindi hiki cha kutafuta ajira. Nachukia sana hawa watu wanaotumia shida za watu kuwa faida kwao.
Yap unaweza..Na vip ukiapply post zaidi ya moja