alma gemela
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 842
- 280
wale waliomba nafasi za kazi online august 2013 wameitwa kupitia email zao na usaili jumatano ijayo 29 jan
sure!kuna mdada yuko mwanza kanicall asubuhi kuwa ameitwa record management assistant ila hataweza kuja dar kwa usaili sababu boyfriend wake kamtataza anataka wa shereheke valentine day 14 feb, a day before interview.
sasa akawa ananiomba ushauri afanyeje?
sijajibu text yake nimemuona kama anautindio wa ubongo,then akamua kuni call nikamwambia nitukushauri after working hours!Hapana n tar 29 jan, yaan wiki ijayo mwambie vzuri
sure!kuna mdada yuko mwanza kanicall asubuhi kuwa ameitwa record management assistant ila hataweza kuja dar kwa usaili sababu boyfriend wake kamkataza anataka wa shereheke valentine day 14 feb, a day before interview.then ana mwaka wa pili jobless
sasa akawa ananiomba ushauri afanyeje?
Tajiri wa kike : iweje demu wako apate nafasi ya kufanya usaili na umkataze kisa unataka raha ya siku moja? What is valentine day?