jamani nimeitwa kwenye written interview TRA tarehe 12/12/2014 pale Diamond jubilee hall kwa post tajwa hapo. wanajf naomba nijuzeni kama kuna mtu anajua maswali huwa yanaulizwaje? ntashukuru kwa mwongozo mtakao nipatia. Niwatakieni siku njema na tulivu kwenu nyote.
Kwani wamesema twende na original certificate ama transcripts ama ni vyote mtu unapaswa kubeba!?
0222125506.....wacheki namba ndo hiyo mkuu.naomben namba ndugu zangu nimeipoteza bahati mbaya na sijatumiwa email zaidi yakupigiwa simu
jamani nimeitwa kwenye written interview TRA tarehe 12/12/2014 pale Diamond jubilee hall kwa post tajwa hapo. wanajf naomba nijuzeni kama kuna mtu anajua maswali huwa yanaulizwaje? ntashukuru kwa mwongozo mtakao nipatia. Niwatakieni siku njema na tulivu kwenu nyote.
mimi pia ni mmoja wapo naomba kuuliza je naweza kwenda na provisional result maana bado sijapata transcript?
wewe umesha jitoa. Hata usipoteze muda wako kwenda
0222125506.....wacheki namba ndo hiyo mkuu.