Wamechoshwa na makaratasi mengi ofisini kwao maana wanajua kazi zilishachukuliwa na wenyewe kwa hiyo mkiaply online hata hawafungui kusoma isipokuwa deadline ikifika wanafuta zile application zote ready for another application
mmmmhh, TRA kuna mambo, mi nilipeleka barua kwa boss akairekebisha akasema barua zetu zinaandikwa hivi, nikaenda nikairudia akasema sasa mambo ni fresh. Mpaka leo sijawahi itwa. Mambo hayo