kwa uzoefu wangu Mtu akipata kazi zileee za operations officers NSSF,Aje atoe uShuhuda hapa,mashirika mengine ni wawazi sana bt hawa NSSF?HATA RIDHIWANI ALISEMA BUNGENI KAZI ZA MASHIRIKA KAMA NSSF TAYARI ZINA WATU,ANGALIA JF KTK Kumbukumbu,so hadi RIDHIWAN ANAOGOPA hawa jamaa hasa NSSF.HAKUNA UWAZI..