TRA news - change of venue for interview

tareh ngap? ile ambayo ilikuwa inafanyika tareh 23/07/2016 au IPI hiyo?
 
Mkuu mbona unafukua makaburi tena?
brother we acha tu? niliitwa then nikashit kisa kuna issue mbili zilitiki kwa wakati moja, sasa huku wanasubiria tamko la mheshimiwa, tangia mwez wa 6 mpaka leo naona bila bila, yaan wee! acha ngoja tusubiri may be neema hipo mbeleni
 
hii serikali yetu bora itoe tamko maana kila cku tunajipa moyo may be next week na week inakatika Mara mwezi still upo home,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…