Currently, Tanzania has a total of ten double tax treaties signed with other nations and these include; Canada, Denmark, Finland, India, Italy, Norway, South Africa, Sweden, Switzerland and Zambia.Wamarekani popote pale walipo duniani wanalipa Kodi kwao..
Ukichoongea kinafanyika nchi zingine..
Lakini watanzania watajificha kwenye ripoti ya CAG...
Lakini kwa makubaliano ya nchi na nchiWamarekani popote pale walipo duniani wanalipa Kodi kwao..
Ukichoongea kinafanyika nchi zingine..
Lakini watanzania watajificha kwenye ripoti ya CAG...
Lakini kwa makubaliano ya nchi na nchi
Kwa mfano UK na Dubai wana makubaliano ya double taxation hivyo hulipi kodi kama unafanya kazi Dubai
Ila unaweza kuchangia National insurance contributions kwa akiba yako ya uzeeni
Ngoja niandike kwa Kuzigua. Nasema kwamba hawa wanaojiita Duaspora wanataka uraia wa Nchi mbili. Waliikimbia Tanzania kwenda nje, wakapewa masharti ya kuukana Utanzania ili wawe raia wa Marekani.Wenda ungeandika lugha mama ya Tanzania hata mimi ningeelewa na wenda mchango wangu ungekuwa ni matusi bin matusi.
Kwa ninavyoona wachangiaji tu.
Kuna blogu ya mariasarungi utakuta wanasema wako milioni 5 na wote ni mabilionea. Kama TRA akichangamkia hii tenda tutamwomba Samia (badala ya kufuta kodi) aweke mwendokasi bure na SGR bure na ATC bure, kodi ya maduaspora itakuwa ni nyingi mno maradufu mara kumi (kama anachosema mariatsehai ni kweli).Tuna watanzania laki tano Oman ..
Na laki 2 UK...
Wakati watu wanaolipa Kodi Tanzania ni milioni 1 Tu...
Tukikaa vizuri na mipango tunaweza double makusanyo ..
Ni kweli mkuu ila tuwe na haki zote piaTuna watanzania laki tano Oman ..
Na laki 2 UK...
Wakati watu wanaolipa Kodi Tanzania ni milioni 1 Tu...
Tukikaa vizuri na mipango tunaweza double makusanyo ..
Hao billionaires wa $? Maana hata kwa shilling ni uongoKuna blogu ya mariasarungi utakuta wanasema wako milioni 5 na wote ni mabilionea. Kama TRA akichangamkia hii tenda tutamwomba Samia (badala ya kufuta kodi) aweke mwendokasi bure na SGR bure na ATC bure, kodi ya maduaspora itakuwa ni nyingi mno maradufu mara kumi (kama anachosema mariatsehai ni kweli).
Double taxation treaties must be win-win. Hawa madiaspora wetu wanachotaka ni vile vitu vitakavyowafaa. Hii itakuwa na faida kwetu in net terms kwa sababu hapa madiaspora wa nje wanaoishi hapa TAYARI wanalipa kodi za huko (ni Wahindi na Wazungu wana maduka yao UK na Canada). Ili upate DTR (double tax relief) ni lazima ukotambulishe KYC. Nadhani mabeberu wakishajua hawatokubali sisi kufaidika.Currently, Tanzania has a total of ten double tax treaties signed with other nations and these include; Canada, Denmark, Finland, India, Italy, Norway, South Africa, Sweden, Switzerland and Zambia...
Naunga mkono hojaUnder Section 6 (b) of the Income Tax Act, non-resident persons are liable to income tax but only to the extent that the income accrues from Tanzania. This must be amended - in all other countries that I know...
Pata tafsiri kwanza ya resident person na non resident person.Double taxation treaties must be win-win. Hawa madiaspora wetu wanachotaka ni vile vitu vitakavyowafaa. Hii itakuwa na faida kwetu in net terms kwa sababu hapa madiaspora wa nje wanaoishi hapa TAYARI wanalipa kodi za huko (ni Wahindi na Wazungu wana maduka yao UK na Canada). Ili upate DTR (double tax relief) ni lazima ukotambulishe KYC. Nadhani mabeberu wakishajua hawatokubali sisi kufaidika.
Hiyo ya definition unaileta wewe. Dr Tax alisema watapewa SPECIAL STATUS lakini wanahamaki eti I awanyima birthright. Kwa hiyo wawe treated sawa tu na birthright wengine, walipe kodi. TRA kidogo alikuwa amezubaa tu, alitakiwa awafuate tangiapo. Hili la kodi walikuwa hawajalifikiria.Pata tafsiri kwanza ya resident person na non resident person.
Huyo diaspora , semay anakuja bongo kwa miezi miwili ni kama siku 60, je hapo ana qualify kuitwa resident person or ana kuwa resident person?...
Hizo hela za wajomba wao si kodi ya serkali, zinaishia kwa wajoma mume wa pili. Tunataka kodi walipe kama tunavyolipa sisi.What services are you giving them in return?
Walipe kodi alafu uzitume tena Japan zikanunue ndinga za Zero km?
Hizi pesa wanazowatumia wajomba zao huku zinatosha.