TRA kunani nijuzeni jamani..!

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
1,382
Reaction score
515
Huyu jirani yangu kijana mdogo tu kaanza kazi hana miaka miwili ofisini,
TRA long room kunani?
 

Attachments

  • jirani wa TRA.jpg
    13 KB · Views: 966
emma-chriss hiyo ni parking lot yake inatizamana na ninapoishi,
hizo gari ni zake, sio kua ziko unregistered ila mm ndo nimefuta number kwani ana haki ya privacy. DULLAH B. wivu ninao ila sio wakike ni wa maendeleo tu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
jamaa ana elemi gani?...na yupo kitengo gan?
 
kbosho sijachunguza mkuu
mjini shule ila dar chuo kikuu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
sure mkuu...ila waweza kuta jamaa kischwani yupo vizuri, pia ana shule ya kutosha....pia pengine ameingia pale fasta fasta amechukuwa mikopo mikubwa na akafanya mambo makubwa. au ndio hivyo tena yaweza yakawa mambo ya RUSHWA.
 
Hana miaka 2 kazini halafu magari yakutosha,daaa kweli tunasafari ndefu hapa tz,maswali ni mengi kuliko majibu tutakayopata.
 
Wivu sasa huyo jirani yako ameshakujua kumbe ni wewe unayemuwekea tunguli nje ya nyumba yake ili asifanikiwe.
 
Mbona magari yamepaki pembeni ya barabara? yanahusika vipi na huyo kijana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…