Tra interview

Tra interview

TO2004

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
540
Reaction score
220
"Wadau naomba msaada kwa yeyote mwenye tetesi za interview ya TRA kazi zilizotangazwa Nov 2012 za preventive assitant"
 
watu wameishaanza kazi! we unaulizia mambo ya interview we fanya ujasiliamali!
 
trh 4/2/2013 pale msimbazi centre ilikuwa interview ya nn. kama hawajaita
 
interview ilianza 4/2/2013 hadi 8/2/2013, wanasubiri kuitwa kwa ajili ya kazi
 
Kama kuna mwenye habari ya ndani kuhusu hawa watu wanaita lini atujuze make nina bwana mdogo kafanya oral ile tarehe 08/02/2013 lakn halali make anataka kujua mustakabali wake ili afanye mambo mengne. Anasema hana hamu ya kufanya chochote mpaka apate results ndo atulie, kama kapata poa na kama kakosa sawa tu. Ametoka mbali kijijin kuja interview kaacha vishughul vyote, kwa hyo anaona anaweza kuondoka mjin akaitwa na nauli inaleta kamgogoro.
 
dah ase., ingekua freshy kama kuna mtu ako na info juu ya idadi ya watu tra wanaeza chukua this time maana dah, tunapata sleep comlications siunajua tena
 
"Wadau naomba msaada kwa yeyote mwenye tetesi za interview ya TRA kazi zilizotangazwa Nov 2012 za preventive assitant"

pole rafiki, writen ilikuwa tar 04 na oral ya preventive ilikuwa tar 8. Watu kwa sasa wanasubiria kuitwa kazini.
 
kwa taarifa zisizo rasmi lakin nimesikia watachukua ppo mia za ass. tax off.... cjui wengine
 
huo ndo utaratibu wao, afterol kama amefanya vizuri kwny written na aliweza kukabili vizuri kipindi cha maswali ya papo kwa papo asiwe na shaka coz i heard watarecruit pipo nyingi
 
huo ndo utaratibu wao, afterol kama amefanya vizuri kwny written na aliweza kukabili vizuri kipindi cha maswali ya papo kwa papo asiwe na shaka coz i heard watarecruit pipo nyingi

thanks mkuu. Kwa hyo nimwache dogo kwanza aende home mpaka hapo badae au vp?
 
Kama hukuitwa usijali inasemekana wataita tena wengine coz wanaitaji watu wengi sana.
 
Back
Top Bottom