wadau, kuna jamaa kanitonya kuwa interview inakaribia, kwa yule anayejua hints za maswal yao atujuze hasa wale wadau wanaofanya kazi tra wanaweza wakatupa abc's
wadau, kuna jamaa kanitonya kuwa interview inakaribia, kwa yule anayejua hints za maswal yao atujuze hasa wale wadau wanaofanya kazi tra wanaweza wakatupa abc's
sio kama tuna mkatisha tamaa ndugu bali ni katika kuuliza maana waosubili huo wito tuko wengi sasa kama walishaitwa atujuze ili nasi tusiwe ktk hiyo xpektng for th best! na sio kumkatisha tamaa kama ulivyo changia.....
jamani hiyo kitu nimeambiwa na mhudumu wa ofisi kiasi kwamba hajui chochote kuhusu maswali, so kama kuna mtu ana experience/ ufahamu wa interview zao basi atujuze kwa faida ya wengi, natanguliza shukrani