makandomende
Member
- Sep 2, 2013
- 82
- 43
:horn::frusty:wadau, kwa yeyote mwenye updates za kuitwa kwenye usahili tra kwa nafasi ya internal investigation officers tafadhali tujulishane, maana muda umepita tangu application zifanyike, thank you naomba kuwasilisha
wasipoita si mbaya kikubwa ni kujua status ndugu yangu
Hata mii nilirusha,mwisho ilikuwa ni 29/08/2013,bado ni mapema mno kulalamika.Je wasipokuita itakuwaje?
Mwisho ilikuwa ni 18 August 2013