Tra- interna investigation officers call for interview

makandomende

Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
82
Reaction score
43
Wadau tangu deadline ya kuomba nafasi ya Internal investigation officer imalizike binafsi sijasikia kuitwa kwenye usahili. Vipi wenzangu, kuna walioitwa au fununu kuwa wataita lini.
Asanteni
 
mkuu hiyo kitu bado, ila niPM maana hata mimi niliomba
 
bado hawajaita na itachukua muda kiaina kwa sababu pamoja na mambo mengine kuna malalamiko yametoka TAKUKURU yamefikishwa kwa katibu mkuu kiongozi bwana Ombeni. Inaonekana wengi waliokuwa shotlisted ni watumishi wa TAKUKURU hivyo bwana mkubwa Hosea analia kuwa TRA wanamchukulia watumishi wakati kashawapa training, wengine kawasomesha n.k..... But all in all tuvuteni subira hope by january kila kitu kitakuwa wazi comrades
 
mkuu ushawai fanya interview za TRA?
 
duh, mpaka january? kisa TAKUKURU kwani hao wa pccb wakati wanaomba maombi hayakupitia kwa bosi wao? waliamua kupiga kimyakimya ona wengine inavyotugarimu kwakusubiri
 
Back
Top Bottom